Linguistics Research Papers/Topics

An Assessment Of Lexical Change In Matengo: The Case Of Mbinga District

ABSTRACT This study aimed at investigating Matengo lexical change in Mbinga district. It was guided by three specific objectives namely: to explore the extent of Matengo lexical change; to examine the linguistic factors for Matengo lexical change and to determine non-linguistic factors contributing to Matengo lexical change in Mbinga district. The study used assimilation theory centring on the ideas of Gordon (1964) as one of the sociologists. Gordon devised the theory into seven stages which...

Matumizi Ya Ujaala Katika Ushairi Wa Kiswahili: Ulinganisho Wa Diwani Za Mathias Mnyampala Na Amri Abedi Kaluta

IKISIRI Utafiti huu unahusu matumizi ya ujaala katika ushairi wa Kiswahili: Ulinganisho wa diwani za Mathias Mnyampala na Amri Abedi Kaluta. Ujaala ni falsafa ambayo hutawala na kuongoza maisha ya binadamu (Ponera, 2014). Falsafa ya ujaala katika ushairi wa Kiswahili haijatafitiwa vya kutosha hivyo, kuwanyima fursa wasomaji na watunzi wa kazi za fasihi na kutoelewa dhana ya ujaala. Hii imemsukuma mtafiti kuchunguza matumizi ya falsafa ya ujaala katika ushairi wa Kiswahili. Kwa kiasi kikubwa, ...

Dhima Ya Taswira Katika Nyimbo Za Muziki Wa Kizazi Kipya: Mifano Kutoka Kwa Nasibu Abdul Na Mrisho Mpoto

IKISIRI Tasinifu hii ni matokeo ya utafiti uliochunguza Dhima ya Taswira katika Nyimbo za Muziki wa Kizazi Kipya: Mifano kutoka kwa Nasibu Abdul (Diamond Platinum) na Mrisho Mpoto (Mjomba). Utafiti huu uliongozwa na malengo matatu mahsusi ambayo ni kubainisha taswira zinazojitokeza katika nyimbo za waimbaji teule, kujadili dhima ya taswira katika nyimbo za waimbaji teule na kutathmini athari za taswira katika nyimbo za waimbaji teule. Nadharia iliyotumika katika utafiti huu ni semiotiki kupit...

Language And Gender Stereotypes In Kiswahili Print Media: Gutter Press And Posters

ABSTRACT The major purpose of this study was to examine language and gender stereotype in Kiswahili print media in Tanzania as portrayed in gutter newspapers and posters. Specifically, the study examines the linguistic features used to portray gender stereotypes in gutter press and posters, causes of language that portray stereotypes and the impacts of the language that portray stereotypes to the readership. The data were collected through documentary review whereby 56 newspapers with 174 hea...

An Assessment Of Power Relations In Teacherstudent Interaction On Classroom Language: A Case Of Ward Secondary Schools In Mbeya City Council

ABSTRACT The study aimed at assessing how teacher-student interaction structures classroom language. The study was carried out in ward secondary schools in Mbeya City Council. The researcher chose Mbeya city council‘s ward secondary schools randomly to represent all wards secondary schools in Mbeya and Tanzania in general because all classroom‘s teaching lessons do share common interactional features under the umbrella of Tanzania Educational National Policy of 1995. The study employed ca...

Athari Za Sayansi Na Teknolojia Katika Hadithi Za Watoto: Mifano Ya Ngano Kutoka Wilaya Ya Micheweni Pemba

IKISIRI Utafiti huu ulikuwa na lengo la kuchunguza hadithi za watoto, kwa kuangalia jinsi hadithi hizo zilivyoathiriwa na maendeleo ya sasa ya sayansi na teknolojia. Hususan, kwa kuchunguza mifano ya hadithi za ngano kutoka Wilaya ya Micheweni Zanzibar. Utafiti ulibaini kwamba, sifa nyingi za Fasihi Simulizi zimebadilika au zimo katika mabadiliko makubwa. Hasa hasa katika kipindi hiki cha kukua na kuimarika kwa sayansi na teknolojia. Ikiwa hivyo ndivyo, basi ni dhahiri kwamba Fasihi Simulizi ...

Korasi Katika Tamthiliya Ya Kiswahili: Mifano Toka Tamthiliya Teule Za Ebrahim Hussein, Emmanuel Mbogo, Na Frowin Nyoni

IKISIRI Utafiti huu ulihusu Korasi katika Tamthiliya ya Kiswahili: Mifano toka Tamthiliya Teule za Ebrahim Hussein, Emmanuel Mbogo, na Frowin Nyoni. Dhana ya korasi imetumiwa ikimaanisha matendo, fikra au maneno ya kisanaa ayatoayo mtu au kikundi cha watu katika kitendo cha kisanaa kwa njia ya uimbaji, uradidi, nathari na kuambatana na vitendo. Matumizi ya mbinu hii ya korasi hayajatafitiwa wala kuhakikiwa vya kutosha katika Fasihi ya Kiswahili. Hali hii inakifanya kipengele hiki kutojulikana...

Athari Za Kimaendeleo Katika Muktadha Wa Nyimbo Za Ngoma Ya Mbassa Ya Jamii Ya Wachagga

IKISIRI Utafiti huu ulilenga kuchunguza athari za kimaendeleo katika muktadha wa nyimbo za ngoma ya Mbassa. Nyimbo za ngoma ya Mbasssa zilikuwa zinaimbwa katika muktadha wa unyago. Kwa sasa nyimbo hizi haziimbwi katika muktadha wa unyago kutokana na mabadiliko ya kimaendeleo, yakiwemo masuala ya utandawazi, mabadiliko ya sayansi na teknolojia, kupanuka kwa kiwango cha elimu, kubadilika kwa mfumo wa siasa, masuala ya kibiashara na mwingiliano katika tamaduni, kumeathiri nyimbo za ngoma ya Mbas...

A Comrehensive Examination Of Language Use In Swahili Movies (Bongo Movies) And Gender Stereotypes

ABSTRACT The study of language and gender has recently influenced a lot of scholars. It is an interesting subject because it relies on the issues related people and their daily life. This study was about examination of language use in Swahili movies and gender stereotypes. The aim of the study was to examine how language use in Swahili movies popularly known as Bongo movies conforms to gender stereotypes. The study was guided by two objectives one is to explore the variety of speech behaviour...

Matumizi Ya Lugha Katika Methali: Mfano Katika Methali Za Kinyakyusa

IKISIRI Utafiti ulichunguza matumizi ya lugha katika methali kwa kujiegemeza katika methali za Kinyakyusa kama mfano. Methali kama utanzu wa Fasihi Simulizi wenye hekima unaoeleza kwa ufasaha wa lugha kwa ufupi wenye kufurahisha, una umuhimu sana katika jamii katika kuelimisha. Kipengele hiki hakijatafitiwa kwa kina katika methali za Kinyakyusa. Taarifa za utafiti huu zilikusanywa kwa njia ya usaili, dodoso na mjadala wa kikundi katika mkoa wa Mbeya wilaya ya Kyela. Uchunguzi wa taarifa za ut...

Tanzania Rural Communities’ Use And Understanding Of Medical Language And Communication: A Case Of Madaba District Council

ABSTRACT This study informs about the rural communities‟ use and understanding of medical language and communication. In particular, the study informs about the rural people‟s understanding of the medical language and communication, their use of medical information and prescriptions and how the medical practitioners ensure that patients and care givers use the medical information and prescriptions as intended. Data for the study were obtained from two wards of Madaba District Council, nam...

Ujaala Katika Ushairi Wa Kiswahili: Mifano Kutoka Tungizi Za Mnyagatwa Na Diwani Ya Midulu

IKISIRI Utafiti huu ulichunguza ujaala katika ushairi wa Kiswahili huku uchunguzi na mifano vikitolewa katika diwani ya Tungizi za Mnyagatwa na Diwani ya Midulu zilizotungwa na Tigiti Sengo. Ujaala ni mtazamo ambao watunzi wa kazi za kifasihi huutumia katika kusana kazi zao. Dhana ya ujaala tumeitumia tukimaanisha hali ya viumbe kuishi kwa imani ya kuwa ipo kani inayoyaongoza na kuyatawala maisha yao hapa ulimwenguni. Dhana hii ya ujaala katika ushairi wa Kiswahili haijachunguzwa vya kutosha;...

Uhalisia Wa Maisha Ya Jamii Ya Wanyakyusa Unavyosawiriwa Katika Dhamira Za Nyimbo Za Ngoma Ya Maghosi

IKISIRI Utafiti huu ulichunguza uhalisia wa maisha ya jamii ya Wanyakyusa unavyosawiriwa katika nyimbo za ngoma ya Maghosi. Ngoma ya Maghosi ni ngoma ambayo huchezwa na jamii ya Wanyakyusa wanaoishi kwenye vijiji mbalimbali ambavyo vinapatikana katika wilaya ya Rungwe wakati wa kiangazi baada ya mavuno. Data zilikusanywa uwandani; ambapo mtafiti alikwenda katika mazingira halisi na kutumia mbinu ya kushuhudia na mahojiano. Uchambuzi na uchanganuzi wa taarifa zote zilizopatikana katika mchakat...

Mabadiliko Ya Vionjo Vya Kiuandishi Katika Riwaya Ya Kiswahili: Ulinganisho Wa Riwaya Za Shaaban Robert Na Said A. Mohamed

IKISIRI Tasnifu hii inahusu Mabadiliko ya Vionjo vya Kiuandishi katika Riwaya ya Kiswahili. Utafiti ulijigeza katika kulinganisha na kulinganua mabadiliko hayo katika riwaya za Shaaban Robert na Said A. Mohamed. Neno vionjo katika tasnifu hii limetumika kama hali ya kimajaribio au mwondoko wa utanzu fulani wa Fasihi kutoka sura iliyozoeleka kwenda sura mpya ambayo haijazoeleka. Mtafiti ameamua kuchunguza mabadiliko ya vionjo vya kiuandishi katika riwaya ya Kiswahili kwa sababu, kwa kiasi kiku...

Assessment Of Zinza Language Lexical Change: A Case Of Kome Island Sengerema District

ABSTRACT The principal concern of this study was the assessment of lexical change in Zinza language. In particular, the study firstly explored the extent of Zinza lexical change in Kome Island; secondly, it examined linguistic factors for Zinza lexical change; and thirdly, described non linguistic factors behind Zinza lexical change. This study employed both purposive and simple random sampling methods. The data were gathered from four villages namely Luhiza, Isenyi, Bugolo, and Buhama locate...


196 - 210 Of 343 Results